BACK TO LIST
 IDH_HAR   IDGHAM   IQLAB   IKHFAA'
  • Mfano mwengine wa nuni sakinah iliyokuwepo kwenye neno moja:- 

مِنـْهُمْ

MIN HUM

 
  • Tanween siku zote inakuwa katika mwisho wa neno, kwa hiyo yanatakikana maneno mawili ili ipatikane idh-har ya tanween. Mfano:-

 

عَذَاب ٌ أَ َلِيمٌ

 

  • Kwa hiyo na hapa vilevile tutadhihirisha tanween kwa sababu mbele yake ipo alif nayo ni herufi ya Idh-har. Tunasoma bila ya kutia ghunnah

'ADHAABUN ALIYM

Na kama tutakavyoona katika mifano hii:-

 

 bonyeza hapa
 
BACK
Site Meter